Kitengo cha sheria nchini ya Marekani kimeanza
kufanya uchunguzi wa jinai dhidi ya kifo chamwandishi wa habari mwenye
asili ya Marekani ,James Foley aliyeuawa na wapiganaji wa kiislamu wenye
msimamo mkali.
Mwanasheria mkuu wa kitengo hicho,Eric Holder
ameweka wazi kuwa wote waliohusika na mauaji ya mwandishi huo watawatia
mkononi muda si mrefu.
Maofisa wa serikali ya Marekani
↧