Mkazi
wa Kata ya Kitangiri katika Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, Anastazia
Ngilitu, amemchana kwa wembe mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili na
wiki mbili baada ya mtoto huyo kuzaliwa bila kuwa na sehemu ya haja
kubwa.
Aidha, amebainisha kuwa wakati wa kujifungua, mtoto huyo alifanyiwa
upasuaji katika Hospitali ya Bugando na kuwa baada ya muda mchache hali
hiyo ilijirudia
↧