Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imeanza zoezi la kuzunguka nchi
nzima kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa jeshi la polisi kwa lengo la
kupambana na uhalifu unaofanyika kupitia mitandao ya mawasiliano.
Meneja
Mawasiliano wa (TCRA) Innocent Mungi amesema leo kuwa polisi wakiwa
walinzi wa amani na usalama wa raia wanapaswa kujipanga katika kufanya
kazi yao vizuri kwa kushirikiana na
↧