Picha: Nicki Minaj ashare picha ya poz tata ya 'Anaconda' akiwa na Drake
Nicki Minaj anaendelea kuvuta umakini wa watu kuisubiria kwa hamu video ya wimbo wake ‘Anaconda’ ikiwa ni siku kadhaa baada ya kutoa kipande cha video kinachoonesha utengenezaji wake. Jana (August...
View ArticleZitto Kabwe kupewa Ulinzi Mkali
CHAMA cha Alliance Transparency For Change (ACT) Mkoa wa Kigoma, kimeahidi kumlinda na kumtetea Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe (CHADEMA), kutokana na changamoto zinazomkumba kupitia watu...
View ArticleHatimaye Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Mansour...
Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansour Yusuph Himid akiwa Makao Makuu ya Polisi Zanzibar ***** MAHAKAMA ya Mkoa Vuga, imemwachia kwa dhamana aliyekuwa Waziri wa zamani wa...
View ArticleSheria Mpya :Mashoga na Wasagaji kupigwa mawe hadharani Kenya
Ripota toka nchini Kenya Julius Kipkoech anaripoti kwamba nchi hiyo inarejea kwenye headlines kuhusu maswala ya kubuni sheria za kipekee ambapo sasa bunge la kitaifa linapanga kujadili sheria...
View ArticlePicha 9 za mawe ya Mwanza yalivyoporomoka na kuua watu wanne.
Hizi ni picha 9 za lile tukio la kusikitisha lililotokea Mkoani Mwanza ambapo jiwe kubwa liliporomoka na kuanguka nyumba mbili ambapo watu wanne walifariki papo hapo...
View ArticleAmkata Kichwa Mdogo wake ili Apate Utajiri.....Aondoka nacho, Akipeleka kwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamng’ang’ania mfanyabiashara maarufu wa Wilaya ya Mvomero, Johnson Damian Mkude (39) akituhumiwa kumkata kichwa mdogo wake wa kuzaliwa, Mathias kisha kuondoka nacho...
View ArticleMbwa Wamuua Mwanafunzi wa darasa la tatu......Wamlaza Kifudifudi na kumla Nyama!
MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ludewa mkoani Njombe, Ibrahim Faraja Chipungahelo (9) ameuawa kikatili na mbwa wanaosadikiwa kuwa na kichaa kisha kuliwa nyama. Moja ya mbwa anayedaiwa kumla mtoto...
View ArticlePapa amruhusu Padri Mosha wa Jimbo Katoliki la Moshi kuoa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekubali kumuondolea sakramenti ya upadri, Raymond Mosha wa Jimbo Katoliki la Moshi ikiwa ni miaka 20 tangu padri huyo aombe kuachana na daraja hilo....
View ArticleCCM waanza kupitia mafaili ya wagombea Urais....Kamati ya Mangula Yajifungia...
KAMATI Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, imeanza vikao vyake mjini Dodoma kupitia taarifa za utekelezaji wa adhabu kwa makada sita wa...
View ArticleManeno Ya Diamond Kwa Wema Sepetu Yamchoma Aunty Ezekiel Na Kumyima Raha.
Star wa filamu nchini Aunty Ezekiel anadaiwa kuchomwa vilivyo na maneno ya Diamond kwa Wema Sepetu yanayodaiwa kumgusa yeye pia moja kwa moja kama rafiki wa Wema... Diamond juzi alisema kuwa Wema...
View ArticleBasi la Sabena na AM Yagongana Uso Kwa Uso......Watu 13 Wafariki Papo hapo,...
MABASI mawili yamegongana uso kwa uso wilayani Sikonge mkoani Tabora na kuua abiria 13, wakiwemo madereva wa mabasi hayo na kujeruhi wengine 73. Moja ya mabasi hayo, lilikuwa likitokea mkoani Mwanza...
View ArticleViongozi wa Magharibi walaani mauaji ya kikatili ya mwandishi wa habari raia...
Kumekuwa na shutuma za kimataIfa kufuatia kuuawa kikatili kwa mwandishi wa habari raia wa Marekani na kundi la islamic state nchini Syria. Waziri wa masuala ya kigeni wa Uingereza Philip Hammond...
View ArticlePicha: Profesa Jay amuonesha 'mama mtoto wake', 'Mama Lisa'
Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake. Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, “OF COURSE...
View ArticleMgomo Mpya wa Wafanyabiashara Wa Jiji la Mwanza Waanza Rasmi...
Wafanyabisahara jijini Mwanza leo wameanza mgomo wa kutofungua maduka yao kwa siku zisizojulikana kwa kile walichodai Mkurugenzi wa jiji hilo, Hassan Hida amekataa kukutana nao kwa lengo la kujadili...
View ArticleAlikiba azungumzia uwezekano wa kufanya wimbo na Diamond Platnumz
Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni. Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia. Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8),...
View ArticleMiili Ya Marehemu 13 wa Ajali ya Mabasi ya Tabora Watambuliwa
Maiti za watu 13 kati ya 16 waliokufa katika ajali ya mabasi yaliyogongana juzi mkoani Tabora, zimetambuliwa na ndugu zao. Ajali hiyo ilitokea juzi saa 8 mchana katika kijiji cha Mlogolo wilaya ya...
View ArticleSheria Yatungwa kudhibiti ULAFI wa Viongozi......Viongozi sasa watatakiwa...
Mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma, kutenganisha viongozi, mali na biashara zao, ili kuzuia ukiukwaji wa maadili ya viongozi wa umma unaoendelea...
View ArticleMtoto Mlemavu wa Miguu ateketea kwa moto hadi kufa baada ya nyumba yao...
Mtoto Rebecca James ambaye ni mlemavu wa miguu na aliyekuwa haongei, ameteketea hadi kufa baada ya nyumba yao kuwaka moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto huo...
View ArticleTiko: Waume za watu Watamu lakini wanachosha maana hakuna uhuru.....Kwa sasa...
Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan amesema ameamua kuachana na tabia ya kuwa kimapenzi na waume za watu kwani ameona wanachosha na uhusiano huo hauna uhuru tofauti na ule wa aliye singo. Akipiga...
View ArticleCCM Yabariki Bunge la Katiba....Yawasikitia UKAWA, Yataka warejee...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimempa kibarua kingine Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kuendelea na mazungumzo ya kusaka mwafaka na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa...
View Article