CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimempa kibarua kingine Katibu Mkuu wake,
Abdulrahman Kinana, kuendelea na mazungumzo ya kusaka mwafaka na Umoja
wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.
Pamoja na hatua hiyo, CCM imesema imesikitishwa na hatua ya kuvunjika
kwa mazungumzo yaliyohusisha viongozi wake na wale wa CUF, Chadema na
NCCR-Mageuzi.
Akizungumza na
↧