Msanii wa filamu Bongo,
Tiko Hassan amesema ameamua kuachana na tabia ya kuwa kimapenzi na waume
za watu kwani ameona wanachosha na uhusiano huo hauna uhuru tofauti na
ule wa aliye singo.
Akipiga stori na mwandishi wetu, Tiko alisema ameamua kuachana na
uhusiano wa kimapenzi na waume za watu kwani alikuwa na mume wa mtu
lakini hakuona faida yoyote zaidi ya kukosa uhuru kutokana na
↧