Mtoto Rebecca James ambaye ni mlemavu wa miguu na aliyekuwa haongei, ameteketea hadi kufa baada ya nyumba yao kuwaka moto.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto huo ulizuka ghafla juzi huko Magomeni Kagera kwenye nyumba hiyo inayomilikiwa na Rashid Khalfani (64), mkazi wa Magomeni.
Alisema moto huo uliteketeza chumba cha kulala cha binti huyo na
↧