Mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma, kutenganisha viongozi, mali na biashara zao, ili kuzuia ukiukwaji wa maadili ya viongozi wa umma unaoendelea kutokea nchini yamewekwa hadharani.
Katika mapendekezo hayo yaliyowasilishwa jana Dar es Salaam na mtoa mada kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Gertrude Cyriacus, pamoja na
↧