WAKATI Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiendelea na msimamo wa
uwapo wa mfumo wa Serikali tatu, Bunge Maalumu la Katiba limeanza
kujadili baadhi ya sura ambazo ziliachwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko
ya Katiba kwa ajili ya Katiba ya Tanganyika.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa Dodoma, Mwenyekiti wa
Bunge hilo, Samuel Sitta, alisema sura hizo ni pamoja na ile ya
↧