Watu watatu wamekufa akiwepo mtoto mchanga na wengine
sita kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria (Hiace) kurushiwa bomu na
watu wasiojulikana huko Kasesema, Kigoma alfajiri ya leo.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa
Polisi Wilaya ya Buhigwe (OCD), Samwel Utonga alisema basi hilo lilikuwa
likotokea Kilelema kwenda Kasulu Mjini ambapo watu hao walilirushia
kitu
↧