Msanii wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu
Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka alipotoa kauli kwamba
kutokana na makalio yake makubwa, anapokuwa anatembea barabarani
husababisha ajali kwani baadhi ya madereva wakware hukosa umakini kwa
kumkodolea macho.
Akizungumzia makalio yake na matiti anayodaiwa kuyabusti kwa dawa za
Kichina, Aunty Lulu alisema: “Unajua umbile langu
↧