WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imezifuta rasmi ajira 200 za nafasi ya Konstebo na Koplo wa Uhamiaji baada ya kupokea ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza tuhuma za upendeleo katika ajira hizo ikidaiwa baadhi ya walioitwa katika ajira ni watoto wa jamaa, ndugu na Maofisa wa Idara ya Uhamiaji.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak
↧