CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetunga wimbo maalumu kwa ajili ya maandamano yaliyopangwa na chama hicho na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ili kushinikiza Bunge Maalumu la Katiba ambalo linaendelea Mjini Dodoma, lisitishe vikao vyake hadi kuwepo maridhiano.
Wimbo huo ambao ni mahususi kwa ajili ya maandamano ambayo haifahamiki yatafanyika lini,
↧