Kundi la wapiganaji la Boko Haram wamevamia shule
moja ya mafunzo ya kipolisi iliyopo kwenye kitongoji cha Gwoza karibu
na mpaka wa nchi ya Cameroon ambacho hufundisha maofisa wa Polisi nchini
Nigeria.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch wametoa
takwimu ya vifo vilivyosababishwa na kundi hilo kua watu zaidi ya elfu
kumi mpaka sasa wameuawa tangu walipoanzisha
↧