Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu,
amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha
tabia mbaya na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao.
Akiongea na Bongo5, Aunt Ezekiele ameeleza kuwa anachofahamu Diamond
aliongea kwa niaba ya watu walio karibu nae na hakumtaja yeye kwa jina.
Lakini hata kama angemtaja yeye hadhani kama Wema ni mtu wa
↧