Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipanda treni ya TAZARA
kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera, Mbunge wa Morogoro Kusini
Mhe Innocent Kalogeris na KAtibu wa Rais Bw. Prosper Mbena wakiongea
ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya
Rais Kikwete kuelekea Kisaki mkoani Morogoro.
Mama
↧