Kumekuwa na shutuma za kimataIfa kufuatia kuuawa kikatili kwa mwandishi wa habari raia wa Marekani na kundi la islamic
state nchini Syria.
Waziri wa masuala ya kigeni wa Uingereza Philip
Hammond amesema kuwa mashirika ya kijasusi yanajaribu kumtambua yule
aliyemuua Foley ambaye anaoneka kuwa na lafudhi ya Uingereza.
Rais wa Marekani Barack anatarajiwa kutoa taarifa yake baadaye
↧