MABASI mawili yamegongana uso kwa uso wilayani Sikonge mkoani Tabora na kuua abiria 13, wakiwemo madereva wa mabasi hayo na kujeruhi wengine 73. Moja ya mabasi hayo, lilikuwa likitokea mkoani Mwanza kwenda Mpanda na lingine likitokea mkoani Mbeya kwenda Mwanza.
Taarifa kutoka eneo la tukio, ilieleza kuwa mabasi hayo yalipata ajali hiyo jana saa 10.05 jioni katika eneo la Mlogoro, kilometa
↧