Star wa filamu nchini Aunty Ezekiel anadaiwa kuchomwa vilivyo na maneno
ya Diamond kwa Wema Sepetu yanayodaiwa kumgusa yeye pia moja kwa moja
kama rafiki wa Wema...
Diamond juzi alisema kuwa Wema anapenda sana
starehe na mashoga wapenda kujirusha badala ya kufanya kazi ili
kujiletea maendeleo kwa kutumia fursa aliyonayo sasa.
Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na Aunty
↧