KAMATI Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, imeanza vikao vyake mjini
Dodoma kupitia taarifa za utekelezaji wa adhabu kwa makada sita wa chama
hicho wanaodaiwa kuanza kampeni kuwania urais mwaka 2015 kabla ya
wakati.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya CCM kiliiambia MTANZANIA kuwa
kikao hicho kilianza jana saa 6 mchana,
↧