Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekubali
kumuondolea sakramenti ya upadri, Raymond Mosha wa Jimbo Katoliki la
Moshi ikiwa ni miaka 20 tangu padri huyo aombe kuachana na daraja hilo.
Barua ya uamuzi wa Papa Francis ilisomwa juzi
katika parokia na vigango vyote vya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi
katika ibada zilizofanyika katika makanisa ya jimbo hilo.
Miongoni
↧