Nicki Minaj anaendelea kuvuta umakini wa watu kuisubiria kwa
hamu video ya wimbo wake ‘Anaconda’ ikiwa ni siku kadhaa baada ya kutoa
kipande cha video kinachoonesha utengenezaji wake.
Jana (August 18), Nicki ameshare picha nyingine kuhusu video hiyo
inayomuonesha yeye akiwa amekaa katika mtindo wa mitego tata mbele ya
Drake aliyekaa kwenye kiti kama anaesubiri huduma.
Picha za wimbo
↧