Msanii wa Hip Hop kutokea Mwanza, Godfrey Tumaini aka Dudu Baya amesema
kuwa majanga anayopata kwenye mahusiano yake yanatokana na kutompata
mwanamke anayemhitaji.
Akizungumza na Mkasi TV hivi karibuni, Dudu Baya amesema wanawake wengi anaokutana nao wanakuwa ni machizi.
“Kwanza sijabahatika kukutana na mwanake ambae mimi namtaka, nafikiri
Mungu bado hajanipa huwaga nakutana na
↧