Mke wa Mtu Amwagiwa Maharage ya Moto kisa mume wa mtu
Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Tukio hilo...
View ArticleMtoto wa Shule ya KATA Aibuka kidedea Shindano la Insha SADC
Watoto wa Kitanzania kutoka shule za kawaida na zile za kata, wameendelea kuipa nchi heshima kimataifa, kwa kuongoza katika mashindano ya kitaaluma. Jana mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya...
View ArticleMarehemu Waendelea kulipwa Mishahara
Utaratibu mpya wa Hazina kulipa mishahara moja kwa moja kwa watumishi wa halmashauri, umefichua ‘mchezo mchafu’ wa watumishi waliofariki na watoro kulipwa mishahara. Akisoma risala ya washiriki...
View ArticleZahanati ya Ebola yavamiwa, polisi waingia mtaani kusaka wezi na wagonjwa...
Kituo maalum kilichotengwa kwa ajili ya kuwaangalia watu wenye dalili za ugonjwa wa Ebola katika mji mkuu wa Liberia, Monrovia kimeshambuliwa na watu wasiojulikana waliopora vifaa. Kwa mujibu wa...
View ArticleLulu awajibu wanaosema hawezi kumpata Justin Bieber
Muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu anaendelea kuonesha hisia zake kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia ujumbe kila Jumatatu. Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin...
View ArticleCHADEMA Dar kufanya maandamano makubwa kumshnikiza Rais Kikwete kulivunja...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Dar es Salaam, jana kimetoa tamko la kufanya maandamano ili kumshinikiza Rais Jakaya Kikwete, alivunje Bunge Maalumu la Katiba. Pia chama hicho...
View ArticleMwanamke auawa, achunwa ngozi Mbeya
WATU wasiofahamika wamemuua mwanamke mkazi wa Kijiji cha Idiwili, Kata ya Iyula wilayani Mbozi na kumchuna ngozi ya shingo. Pamoja na kumchuna ngozi marehemu, wauaji hao pia walinyofoa macho, ulimi...
View ArticleTembo wavamia makazi ya watu na kuua, Longido mkoani Arusha
Kundi la Tembo limevamia makazi ya wananchi wa kata ya Tingatinga wilayani Longido mkoani Arusha na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kujeruhiwa. wananchi wa kata hiyo wamedai kuwa aliyeuawa...
View ArticleKitambulisho cha Uraia Hakitatumika Kupigia Kura
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesisitiza vitambulisho vya uraia, havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)....
View ArticleMwigulu:Nimeombwa kugombea urais 2015.....Adai kutumiwa ujumbe na wazee...
Wakati baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kupigana vikumbo kuwania urais wa 2015, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema ameombwa na watu mbalimbali wakiwamo wazee...
View ArticleKichanga kisichokuwa na kichwa, kifua chaokotwa
Maiti ya mtoto mchanga ikiwa haina kichwa wala kifua imekutwa ikiwa imefukiwa na mtu asiyejulikana kwenye pagala la nyumba. Habari zilizothibitishwa na Kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma, Mihayo...
View ArticleBaba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile
Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia bado vinaendelea Zanzibar baada ya watu wawili kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kubaka. Katika tukio lililotokea Agosti 4, mwaka huu Muhammed Khafidh Thabit...
View ArticleJK aitisha Kamati Kuu ya Dharura....Kutua Dodoma na Siri nzito Moyoni, kauli...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma kesho. Habari za uhakika zilizopatikana Dar es Salaam jana, zinasema...
View ArticleIrene Uwoya amtaka Ndikumana Yanga, mwenyewe aogopa kulogwa.....Asema Uwoya...
BINTI aliyejaliwa uzuri wa sura anayeng’ara kwenye filamu za Kibongo, anamshawishi mumewe Hamad Ndikumana aje kucheza Yanga ya chini ya kocha, Marcio Maximo. Ndikumana ambaye kwa sasa anaichezea...
View ArticleFreeman Mbowe Aikimbia tena Mahakama
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freemon Mbowe, ameshindwa kuhudhuria Mahakamani kutoa ushahidi wake katika kesi inayomkabili, huku wakili wake akishindwa kufika mahakamani...
View ArticleTrafiki Anusurika kufa baada ya Kuvaana Uso kwa Uso na Gari Dogo eneo la...
Askari mmoja wa kikosi cha usalama barabara ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki ya polisi ambayo ilikosa mwelekeo na...
View ArticleTanzia: Jaji Lewis Makame afariki Dunia
Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi-(NEC), Jaji Lewis Makame amefariki baada ya kuugua maradhi ya moyo kwa muda mrefu. Jaji Makame alikuwa amelazwa katika hospitali ya AMI iyopo...
View ArticleManyaunyau awataka wanasiasa wakubwa wanaomfuata kwa siri waweke wazi, aeleza...
Mganga wa jadi maarufu anaefahamika kama Dr. Manyaunyau amesema kinapofika kipindi cha uchaguzi, wanasiasa wengi wakubwa humfuata kwa lengo la kutaka awasaidie lakini siku zote wanafanya kwa kujificha...
View ArticleMPASUKO Bongo movies! Steve nyerere adaiwa kuingia mitini na hela za...
Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amechikichia...
View ArticleDudu Baya: Sijabahatika kumpata mwanamke ninayemtaka, nakutana na machizi
Msanii wa Hip Hop kutokea Mwanza, Godfrey Tumaini aka Dudu Baya amesema kuwa majanga anayopata kwenye mahusiano yake yanatokana na kutompata mwanamke anayemhitaji. Akizungumza na Mkasi TV hivi...
View Article