Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unatatizo la kufika kileleni...

Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha...

View Article


Fahamu kuhusu Ugonjwa wa EBOLA na Chanzo kamili cha Virusi vya Ugonjwa huo na...

Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vijulikanavyo kwa lugha ya kitaalamu “Ebola Virus”,  ugonjwa wa damu kutoganda.  Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa...

View Article


H.Baba: Diamond muoe Wema muishi kwa ‘raha mustarehe’

Msanii wa muziki na filamu H.Baba ambaye yupo ndani ya ndoa na msanii mwenzake Flora Mvungi ametoa maoni yake kwa kile kinachooendelea kati ya pande mbili za kishabiki za Diamond na mpenzi wake Wema....

View Article

Lady Jaydee ajibu tetesi za kuachana na Gadner kwa picha ya pete ya ndoa...

Wanasema picha huongea maneno 1,000. Baada ya kuendelea kwa uvumi kuwa ndoa ya Lady Jaydee na Gadner G Habash imevunjika, muimbaji huyo amepost picha akionesha pete ya ndoa kwenye kidole chake....

View Article

Moto Wateketeza Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mjini Moshi Leo Asubuhi

Transforma zinazosambaza umeme katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro zilizoko eneo la Bomambuzi zimewaka moto leo asubuhi  muda mfupi baada ya kutokea shoti ambayo haijafahamika...

View Article


Dereva wa Basi la UDA Apewa Kibano kizito na Trafiki Baada ya kuleta Ubabe...

Devera wa Basi la Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA) ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, amejikuta akipewa kibanokizito  na askari wa usalama barabarani ‘trafiki’ baada ya kuleta ubabe...

View Article

Irene Uwoya: Hakuna Vazi nisilopenda kulivaa Kama Chupi

Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE....

View Article

#BringBackOurWema: Mashabiki wa Diamond nao waanza kampeni dhidi ya Wema

Baada ya mashabiki wa Wema kuamua kuanzisha kampeni maalum dhidi ya Diamond wakimtaka amrudishe wema wao kwenye game walilomzoea #BringBackOurWema, mashabiki wa Diamond nao wameibuka na yao.   Katika...

View Article


Gari lililobeba MAITI kumi laua watu Wawili Mikese

Gari la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), lililokuwa likisafirisha maiti 10  za watu kwenda katika Hospitali ya Mtakatifu Francis Ifakara, wilayani Kilombero, limewagonga watu wawili waliofariki...

View Article


JIWE Laporomoka jijini Mwanza na kuua Watu Wanne.....Laponda nyumba 2 Usiku...

Vilio na simanzi jana vilitawala kwa wakazi wa maeneo ya Sinai-Mabatini, baada ya vifo vya watu wanne wa familia mbili tofauti, vilivyotokana na mvua iliyosababisha miamba mikubwa ya mawe kuporomoka...

View Article

"Wema Sepetu Badilika, Diamond Yamemfika Shingoni mpaka Anafunguka"......Hii...

Mange kimambi ambaye ndiye aliyemuibua Wema Sepetu kwa kumshawishi kushiriki Miss Dar Indian Occean 2006 na hatimaye Wema Sepetu kushinda Miss Tanzania 2006 amefunguka kwa kusema kuwa hawezi kumtetea...

View Article

10 Bora shindano la Tanzania Movie Talents Wapatikana

Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakati ilipokuwa ikionyeshwa kwenye runinga...

View Article

Jeshi la Polisi Latangaza kuanza Uchunguzi Wa Kina dhidi ya Freeman Mbowe ,...

JESHI la Polisi limetangaza kuanzisha uchunguzi wa kina dhidi ya viongozi wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliotajwa na kada wa zamani wa chama hicho, Habibu Mchange,...

View Article


Sumaye ashauri kusitishwa kwa Bunge la Katiba

Waziri mkuu wa zamani nchini Tanzania Fredrick Sumaye amependekeza kusitishwa kwa mjadala wa katiba mpya unaoendelea mjini Dodoma kwa kuwa inaonekana dhahiri kuwa si muda muafaka wa kupata katiba mpya...

View Article

Abiria Wateseka kwa Zaidi ya Saa Sita Kibamba Dar

Abiria waliokuwa wanaelekea mkoani Mwanza kutoka Dar na gari la Princes Shabaha jana walikwama kwa saa sita baada ya basi hilo lenye namba za usajili T105 AVX  kuharibika maeneo ya Kibamba jijini Dar...

View Article


Mwanasheria Mkuu wa Serikali Awataka UKAWA Warudi Bungeni.....Asisitiza kuwa...

Mwanasheria mkuu wa serikali nchini Tanzania Jaji Fredrick Werema amesema hakuna sheria inayompa mamlaka Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kulivunja bunge maalum la katiba hivyo amewataka umoja...

View Article

Johari Amrushia Dongo Irene Uwoya.....Awararua Waigizaji Wa Kike Wanaojichia...

Msanii  Johari Blandina 'Chagula' ambaye ni star mkongwe Swahiliwood amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuutunza muonekanio wake na kuwa kama kijana licha ya umri wake kuwa mkubwa tofauti na baadhi ya...

View Article


Ali Kiba awataka watu wasimgombanishe na Diamond

Ali Kiba ameeleza kutopendezwa na maelezo yanayoandikwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa yeye na Diamond wana ugomvi.   Akiongea na Bongo5 mwimbaji huyo amesema wapo watu ambao hutumia hata akaunti...

View Article

Alichokisema Omotola ni fundisho kwa waigizaji wa Tanzania kuhusu SKENDO

Muigizaji wa kike wa Nigeria mwenye umaarufu mkubwa usioambatana na 'skendo', Omotola ameeleza sababu zinazomfanya asiwe na habari chafu kwenye vyombo vya habari.   Kikubwa alichokieleza ni uamuzi wa...

View Article

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ( NIDA) Yazindua Rasmi zoezi la Usajili na...

Ndugu Joseph Makani, Mkurugenzi Mifumo ya Komputa akisoma hotuba kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, wakati wa uzinduzi wa kuanza kwa zoezi la Usajili na Utambuzi...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>