Transforma
zinazosambaza umeme katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi Mkoani
Kilimanjaro zilizoko eneo la Bomambuzi zimewaka moto leo asubuhi muda
mfupi baada ya kutokea shoti ambayo haijafahamika chanzo chake ni nini.
Moto huo umetokea majira ya saa 1:10 na kusababisha maeneo kadhaa ya mji wa Moshi kukosa umeme hadi sasa.
Mwandishi ameshuhudia kikosi cha zimamoto kutoka
↧