Devera wa Basi la Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA) ambaye hakuweza
kufahamika jina lake mara moja, amejikuta akipewa kibanokizito na askari
wa usalama barabarani ‘trafiki’ baada ya kuleta ubabe wakati
alipotakiwa kutii sheria bila shuruti.
Tukio hilo la aina yake lililosababisha usumbufu kwa abiria wa basi
hilo, lilitokea juzi Bamaga-Mwenge jijini Dar kufuatia dereva huyo
↧