Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya
amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli.
Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani
ya VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni
vigumu kuikuta kwenye kabati lake, “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi”
Alisema Irene uwoya.
↧