Wanasema picha huongea maneno 1,000. Baada ya kuendelea kwa uvumi
kuwa ndoa ya Lady Jaydee na Gadner G Habash imevunjika, muimbaji huyo
amepost picha akionesha pete ya ndoa kwenye kidole chake.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook wa Lady Jaydee ameandika ujumba
tofauti na picha lakini mashabiki wake wameelewa kuwa ni ujumbe anaoutoa
kufuatia tetesi hizo.
“Kucha zimekosa rangi ya
↧