Gari la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), lililokuwa
likisafirisha maiti 10 za watu kwenda katika Hospitali ya Mtakatifu
Francis Ifakara, wilayani Kilombero, limewagonga watu wawili waliofariki
dunia papohapo, eneo la Mtego wa Simba, Mikese mkoani Morogoro.
Waliokufa katika ajali hiyo iliyotokea saa 5:25 asubuhi jana ni dereva na abiria wa bodaboda.
Maiti hizo zilizokuwa
↧