Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vijulikanavyo kwa lugha ya kitaalamu “Ebola Virus”, ugonjwa wa damu kutoganda.
Ugonjwa
huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za
Virusi zinaazosababisha kutokwa na Damu mwilini,(Viral Haemorrhagic
Fevers) .
Chanzo kamili cha virusi vya ugonjwa huu hakijulikani. Katika orodha ya watu 10 waliopata kirusi cha Ebola
↧