Picha za Kajala Masanja Masanja akifanya Mahaba Zavuja
Mshiriki wa filamu mpya ya Fundi Seremala, Kajala Masanja ameanza kumfichua mpenzi wake mpya baada ya kuingiza mtandaoni picha inayomuonyesha akipigana mabusu na kijana mmoja...
View ArticleKeyshia Cole adaiwa ni MSAGAJI....Video yake mpya yazua utata
Keyshia Cole ambaye hivi karibuni amepigana chini na mume wake Daniel Gibson 'Boobie', mwishoni mwa wiki jana aliachia video yake mpya ya wimbo wa She, ambayo ilishangaza wengi...
View ArticleTundu Lissu Atangaza kugombea Urais 2015.....Mbowe atia neno!!
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa mara ya kwanza amefunguka na kusema ana nia ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 iwapo chama chake kitaridhia. Ametoa kauli hiyo...
View ArticleRayuu Aomba RADHI Kwa Picha zake za Uchi......"Naiomba radhi familia yangu...
Msanii anayefanya vizuri kunako tasnia ya filamu Bongo, Rayuu Bagenzi 'Rayuu' ambaye amewahi kukumbwa na skendo kibao ikiwemo kupiga picha za nusu uchi pamoja na kuonyesha...
View ArticlePenny kumchezesha Diamond NGOLOLO Kwenye harusi Yake
Mtangazaji wa 93.7 E-FM kupitia kipindi cha Genge, DVJ Penny ambaye wiki kadhaa zilizopita picha zake zilisambaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa amevishwa pete ya uchumba huku...
View Article" Sijawahi Kuridhishwa kimapenzi ( kufikishwa kileleni) na Mwanaume yeyote...
Staa wa filamu ambaye anashika nafasi ya kwanza kwa kufungasha Tanzania nzima, Efranciya Mangii ameibuka na kupasua jipu kuwa licha ya kuzalishwa mtoto mmoja lakini hakuna...
View ArticleEphraim Kibonde na Gardner Habash Wapandishwa Kizimbani katika Mahakama ya...
MTANGAZAJI wa Clouds FM, Ephraim Kibonde na mwenzake, Gardner Habash wa Times FM leo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa kusababisha ajali na kudharau...
View ArticleHuyu Ndo DEMU Mpya wa Diamond Plutnumz....Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ndiye...
Yaliyomtokea Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu mwaka jana huenda yakajirudia mwaka huu baada ya kugundilika mahusiano mapya baina ya Diamond na msanii wa muziki aina ya Afro...
View ArticleDalili za Ugonjwa wa Homa ya INI na Jinsi Unavyoambukizwa ( Ugonjwa huu ni...
Homa ya Ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu.Virusi hivyo vinaitwa HBV (Hepatitis B Virus). Virusi hivyo...
View ArticleBaby Madaha Anusurika Kubakwa baada ya kupanda jukwaani akiwa na kivazi cha...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha amenusurika kubakwa nchini Kenya baada ya kupanda jukwaani akiwa ametinga kivazi cha nusu utupu. Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita...
View ArticleUgonjwa wa EBOLA Waingia Dar es Salaam......Wagonjwa wawili wagundulika kuwa nao
Ugonjwa wa Ebola umeingia nchini kufuatia watu wawili wanaodhaniwa kuwa na maambukizi yake kuwasili nchini. ‘Wagonjwa’ hao wamepelekwa katika kituo maalum kilichotengenezwa na serikali kwa ajili ya...
View ArticleMrembo Amwagiwa Mafuta ya Moto Usoni kisa mume wa mtu
Mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Mbuva, mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar, hivi karibuni amejikuta akiharibiwa uso wake kwa kumwagiwa mafuta ya moto na shosti wake aitwaye Mama Sofia, kisa...
View ArticleDiamond Ampiga Vijembe Wema Sepetu....Adai kuchoshwa na tabia yake ya kuwa na...
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia vijembe mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya starehe...
View ArticleMchange Apangua tuhuma za mauaji ya Dk. Slaa.....Asema Tuhuma hizo ni za...
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange, ameibuka na kuponda hoja za kumuhusisha kupanga njama za kutaka kumuua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa....
View ArticleIkulu yawakatisha tamaa UKAWA.....Yasema Rais Kikwete Hawezi Kulisitisha...
MKURUGENZI wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salva Rweyemamu, amesema hata kama viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakikutana na Rais Jakaya Kikwete, hakuna kitakachobadilika kuhusu mwenendo...
View ArticleWasukuma Wapigwa Marufuku Kutembea na Fimbo Mitaani......Ngoma za "Chagula...
UONGOZI wa Serikali kwenye Tarafa ya Ngaherango, Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, umepiga marufuku wafugaji wa kabila la Wasukuma kwenye tarafa hiyo, kutembea na fimbo mitaani ili kukomesha tabia ya...
View ArticleHatimaye Jackie Cliff Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 6 Nchini China.
Baada ya kushikiliwa kwa takriban miezi tisa kwa kesi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye model maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Cliff’ amehukumiwa kifungo cha miaka 6 jela huku...
View ArticleRais Kikwete: Rasimu ya Katiba haitambui Uraia Pacha
Rais Jakaya Kikwete amesema suala la uraia wa nchi mbili linaonekana kutokuwa na nguvu kwa sasa kutokana na kutojitokeza katika Tume ya Mabadiliko ya Katiba, hivyo kutoingia katika Rasimu ya Katiba...
View ArticleTaarifa MPYA ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Ebola kuingia Tanzania.
Ugonjwa wa Ebola ambao kwa sasa umeingia kwenye headlines za dunia kutokana na kuripotiwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika sasa umeingia kugusa vichwa vya habari na kuihusisha Tanzania. Waziri wa...
View ArticleWema Sepetu: Namchukia Halima Kimwana ( Dada yake Diamond) Mpaka basi
Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’, Halima Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu...
View Article