MTANGAZAJI wa Clouds FM, Ephraim Kibonde na mwenzake, Gardner Habash
wa Times FM leo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya
Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa kusababisha ajali na kudharau amri ya
polisi na kutoa lugha ya matusi.
Watangazaji hao wamesomewa mashitaka hayo na Wakili wa Serikali, Salim Mohammed mbele ya Hakimu Aniseta Wambura.
Kibonde na Gadna wanadaiwa
↧