Ugonjwa wa Ebola umeingia nchini kufuatia watu wawili wanaodhaniwa kuwa na maambukizi yake kuwasili nchini.
‘Wagonjwa’ hao wamepelekwa katika kituo maalum kilichotengenezwa na
serikali kwa ajili ya waathirika wa ugonjwa huo kilichopo wilaya ya
Temeke jijini Dar es Salaam.
Mpekuzi jana ilishuhudia watu wawili wanaodhaniwa kuwa na ugonjwa huo
wakiwa wamefikishwa katika kituo hicho
↧