Mwanadada aliyefahamika
kwa jina moja la Mbuva, mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar, hivi
karibuni amejikuta akiharibiwa uso wake kwa kumwagiwa mafuta ya moto na
shosti wake aitwaye Mama Sofia, kisa kikidaiwa ni mume wa mtu.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo inadaiwa mama
Sofia alimfanyia mwenzake unyama huo akimtuhumu kutembea na bwana
wake.Akisimulia
↧