Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia
vijembe mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya
starehe zisizo na faida.
Katika ujumbe huo, Diamond ameandika kuwa angewaona mashabiki wa
mrembo huyo wana akili na mapenzi ya dhati kama wangemshauri apunguze
mashoga wapenda anasa na kuacha
↧