Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu
Mchange, ameibuka na kuponda hoja za kumuhusisha kupanga njama za
kutaka kumuua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa.
Alisema tuhuma hizo ni upuuzi na ni dalili ya kifo kwa chama hicho.
Hatua hiyo ya Mchange imekuja siku chache baada ya madiwani wawili wa
Chadema Mkoa wa Shinyanga waliokuwa CCM,
↧