MKURUGENZI wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salva Rweyemamu, amesema
hata kama viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakikutana na
Rais Jakaya Kikwete, hakuna kitakachobadilika kuhusu mwenendo wa Bunge
Maalumu la Katiba.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Salva
alisema katu hatua hiyo haitaweza kusitisha Bunge hilo akiwataka warejee
bungeni na
↧