Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph
Madaha amenusurika kubakwa nchini Kenya baada ya kupanda jukwaani akiwa
ametinga kivazi cha nusu utupu.
Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika mji wa Naivasha uliopo
Nairobi nchini humo ambapo mwanadada huyo alipopanda jukwaani akiwa
amevaa sketi fupi iliyokuwa imeacha sehemu kubwa ya mapaja wazi, wanaume
wakware
↧