Homa ya Ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini
hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu.Virusi hivyo vinaitwa HBV
(Hepatitis B Virus).
Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini,
mfano mate au jasho. Watu takriban 1,000,000 wanapoteza maisha duniani
kote kutokana na ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B).
Ugonjwa
↧