Msanii anayefanya vizuri kunako tasnia ya filamu Bongo, Rayuu Bagenzi 'Rayuu' ambaye amewahi kukumbwa na skendo kibao ikiwemo kupiga picha za nusu uchi pamoja na kuonyesha michoro ya tatoo katika sehemu zake nyeti amedai kuwa amelazimika kubadili mwenendo wake hivyo kuomba radhi kwa kuikwaza Familia yake, ndugu, jamaa na marafiki
Rayuu aliamua
↧