MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa mara ya
kwanza amefunguka na kusema ana nia ya kuwania urais katika Uchaguzi
Mkuu wa 2015 iwapo chama chake kitaridhia.
Ametoa kauli hiyo ikiwa ni miaka miwili tangu Mbunge wa Kigoma
Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), alipojitokeza hadharani akisema kwamba
hatawania tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ujao na
↧