Keyshia Cole ambaye hivi karibuni amepigana chini na mume wake Daniel Gibson 'Boobie', mwishoni mwa wiki jana aliachia video yake mpya ya wimbo wa She, ambayo ilishangaza wengi kutokana na kuwamo matukio ya muonekano wa kushabikia mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja ( Usagaji )
Katika video hiyo, Keyshia Cole anaonekana akimchezea kimahaba
↧