Mtangazaji wa 93.7 E-FM kupitia kipindi cha Genge, DVJ Penny ambaye wiki kadhaa zilizopita picha zake zilisambaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa amevishwa pete ya uchumba huku mwanaume aliyefanya tukio hilo akiwa ni kitendawili, hatimaye mwanadada huyo ameibuka na kumuweka wazi mpenzi wake.....
Akiongea na mwandishi wetu, rafiki wa karibu wa Penny
↧