Ugonjwa wa Ebola ambao kwa sasa umeingia kwenye headlines za dunia
kutokana na kuripotiwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika sasa umeingia
kugusa vichwa vya habari na kuihusisha Tanzania.
Waziri wa Afya wa Seif Rashid amesema wagonjwa waliohisiwa kupata
maambukizo hayo kutokana na dalili za awali ni kutoka Benin na Mtanzania
lakini baada ya vipimo wameonekana hawana maambukizo hayo.
↧