Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada
wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’, Halima
Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu zikiwa
hazijulikani.
Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Wema alisema ugomvi
wake na Halima Kimwana hautaisha na siku zote atamuonyesha chuki za wazi
sababu hana upendo naye hata
↧