Rais Jakaya Kikwete amesema suala la uraia wa nchi mbili
linaonekana kutokuwa na nguvu kwa sasa kutokana na kutojitokeza katika
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, hivyo kutoingia katika Rasimu ya Katiba
inayojadiliwa sasa bungeni.
Kauli ya Rais Kikwete imekuja wakati suala hilo
likionekana kuwagawa wajumbe katika Kamati za Bunge Maalumu, kutokana na
kuwapo kwa mapendekezo kwamba suala
↧