CHADEMA Wampiga na kumjeruhi Vibaya mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba
MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, umeingia hatua nyingine baada ya Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Thomas Mgoli, kupigwa na kulazwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma na wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa...
View ArticleMagufuli: Nipo tayari kushtakiwa
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema yupo tayari kufungwa jela kuliko kuendelea kuwavumilia watu wanaokwamisha ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kukimbilia mahakamani. Sambamba na hilo,...
View ArticleKamati ya Wassira yabariki adhabu ya kifo ( Kunyongwa)
LICHA ya sheria ya kunyonga kupigiwa kelele na jumuiya za kimataifa, wajumbe wa kamati namba sita ya Bunge Maalumu la Katiba wamependekeza iendelee kutumika nchini. Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleShibuda, Arfi: Tupo tayari kuadhibiwa CHADEMA
Wabunge wa Chadema, Said Arfi na John Shibuda wamesema hawana hofu yoyote juu ya uamuzi utakaochukuliwa dhidi yao na uongozi wa chama hicho kwa kitendo chao cha kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la...
View ArticleKibonde wa Clouds FM aachiwa kwa dhamana Oysterbay
Mwandishi wa habari, Ephraim Kibonde jana aliachiwa kutoka Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam alikokuwa akishikiliwa tangu mwishoni mwa wiki kwa tuhuma za kusababisha ajali ya gari na kutoa...
View ArticleMume Wa Mtu anayedaiwa kumpa mimba MBWA Wake Kufikishwa mahakamani muda wowote
Lile sakata la mume aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi wa Majohe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na mkewe, Cecilia Hamis kwamba amempa mimba mbwa yameibuka mapya....
View ArticleHoma ya INI ni Hatari kuliko UKIMWI
UGONJWA wa homa ya ini umeonekana kuwa tishio kwa wananchi kuliko Ukimwi baada ya takwimu ya miezi mitatu kuonesha maambukizi yake yapo kwa wastani wa asilimia 5.6 dhidi 1.6 ya maambukizi ya Ukimwi...
View ArticleNEC Yatoa Ufafanuzi kuhusu daftari la kudumu la Wapiga kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kuanza hivi karibuni linamhusu kila raia mwenye sifa ya kupiga kura. Ufafanuzi huu...
View ArticleWapakistani Waliokamatwa na Madawa ya Kulevya Watoroka nchini
Mtuhumiwa Abdul Ghan Peer Bux. ****** Imeelezwa kwamba Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) waliokamatwa wakiwa na Watanzania wanaotuhumiwa kwa kukutwa na madawa ya...
View ArticleMAUAJI YA KUTISHA: Majambazi Yaua Baba na Mama na kumjeruhi mtoto wa Miezi...
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia na kuwaua mume na mke na kumjeruhi mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 aliyeachwa na mama yake aliyeuawa katika tukio lililotokea kijiji cha...
View ArticleWanawake wayazuia magari ya jeshi yaliyokuwa yakiwapeleka waume zao kupigana...
Ripoti kutoka Nigeria zinaeleza kuwa Jumamosi iliyopita kundi kubwa la wanawake lilijitokeza na kuzuia magari ya jeshi yaliyokuwa yamewabeba wanaume wao na wake zao yakielekea katika mji wa Gwosa,...
View ArticleKanye na Kim waonesha mahaba mazito ndani ya lift, ni muongozo kwa Jay Z na...
Neno ‘elevator’ au lift liliandikwa sana baada ya Jay Z kupigwa vibao na Solange kisa kutaka kufanya michepuko na kushindwa kumuonesha Beyonce mapenzi ya dhati. Hii imekuwa tofauti kwa Kanye West...
View ArticleAudio: Diamond Afunguka kuhusu Wasanii wa Tanzania Wanaotaka kushindana nae
Joto la ushindani kati ya wasanii wa Tanzania linazidi kupanda huku mashabiki na vyombo vya habari wakidaiwa kuchochea kuni kwa namna moja au nyingine. Diamond Platinumz ambaye ndiye msanii...
View ArticleShibuda Afichua Siri za CHADEMA...Adai Walimwahidi kumpa Helkopta...
SIKU moja baada ya Mbunge wa Maswa Magharibi, mkoani Simiyu, Bw. John Shibuda kutangaza kuachia ngazi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mbunge huyo ameibuka tena na kusema...
View Article"Mpitisheni Waziri Magufuli Urais 2015".....Huu ni ushauri waliotoa Wakazi wa...
KATIKA hali isiyo ya kawaida, baadhi ya wakazi wa Tegeta, Dar es Salaam, wamekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumpitisha Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli awe mgombea wa chama hicho kwenye nafasi...
View ArticleWema Sepetu: Najuta Kumrudia Diamond
Takribani wiki sasa kumekuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu hayuko sawa katika mahusiano yake ya kimapenzi na nguli wa Bongo Fleva, Diamond...
View ArticleAunt Ezekiel Anaswa na Mume Wa Mtu......Ni siku chache baada ya kuahidi kumpa...
Staa wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel (katikati) akiwa karibu na dansa wa Wasafi Classic, Moses Yobo. ****** Staa wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel...
View ArticleUKAWA Waanza Vita Upya.....Watangaza Maandamano nchi nzima endapo Rais...
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umemtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma na iwapo hatafanya hivyo utaongoza maandamano nchi nzima. Umoja huo...
View ArticleMtoto Auawa kwa KIPIGO na baba yake mzazi
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi ACP Dhahiri Kidavashari ****** JESHI la Polisi Wilaya ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, linamtafuta mkazi wa Malangali, Bw. Saimon Paskali kwa kosa la kuwapiga...
View ArticleJWTZ kuadhimisha miaka 50 kwa staili ya aina yake
Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ jana limezindua rasmi maadhimisho ya miaka 50 ya jeshi hilo huku likiahidi uimara wa askari wa jeshi hilo katika kukabiliana na maadui wa kivita. Waziri wa Ulinzi...
View Article