Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ jana limezindua rasmi maadhimisho ya
miaka 50 ya jeshi hilo huku likiahidi uimara wa askari wa jeshi hilo
katika kukabiliana na maadui wa kivita.
Waziri
wa Ulinzi wa Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi ambaye ndie
alikuwa mgeni rasmi alisema maadhimisho hayo yatahusisha mazoezi ya
kijeshi yenye lengo la kupima uwezo wa jeshi katika
↧