Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi ACP Dhahiri Kidavashari
******
JESHI la Polisi Wilaya ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, linamtafuta mkazi wa Malangali, Bw. Saimon Paskali kwa kosa la kuwapiga watoto wake, kumuua mmoja na kukimbia kusikojulikana.
Tukiio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana baada ya mtuhumiwa kurudi nyumbani akitokea kwenye Sherehe ya Komonio akiwa amelewa na kuanza
↧